LONDON, ENGLAND: MCHAKAMCHAKA wa Ligi Kuu England utaendelea tena wiki hii, ambapo macho na masikio ya wengi yatakuwa huko ...
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30.
Klabu ya Qatar SC ya Qatar imetangaza kumsajili nyota wa kimataifa wa Afrika Kusini, Percy Tau kutoka Al Ahly ya Misri.
TIMU ya Taifa ya Zanzibar Heroes, imefanikiwa kubeba ubingwa wa Kombe la Mapinduzi 2025 baada ya kuifunga Burkina Faso mabao ...
KIKOSI cha Simba kimefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya juzi kutoka sare ya kufungana bao 1-1 ...
YANGA imekamilisha kazi ya kwanza ugenini kwa kuichapa Al Hila bao 1-0 juzi Jumapili, kazi ya pili iliyobaki ni kuichapa MC ...
SIMBA juzi ilitinga robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kutoka sare ya bao 1-1 ugenini dhidi ya Bravos ya Angola huku Yanga ikijiweka katika nafasi nzuri ya kutinga hatua ...
MUDA wowote Tabora United inaweza kumtangaza kipa raia wa Gabon, Jean Noel Amonome baada ya kukamilika ishu ya makubaliano ya ...
BAADA ya kukosa nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Singida Black Stars, beki Rashid Kawambwa amepelekwa Polisi Tanzania ...
BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi sita, taarifa zimefichua kuwa mshambuliaji, Eliuter Mpepo amemalizana na ...
HABARI zinabainisha kwamba Dodoma Jiji imekamilisha usajili wa beki Mukrim Issa aliyekuwa akiitumikia Coastal Union tangu ...
KIUNGO wa zamani wa Mbeya City, Yanga na Namungo, Raphael Daudi Loth amekamilisha uhamisho wake kwa mkopo wa miezi sita ...