Mwaka 1997, Kinana akiwa na umri wa miaka 45, alitangaza kutogombea nafasi yoyote ndani ya CCM. Kisha, alikwenda Chuo Kikuu ...
Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imemtangaza Jacqueline Woiso kama mjumbe wake wa bodi, Januari 10, 2025.
Uamuzi huo wa wajumbe, unahitimisha safari ya miaka 21 ya uenyekiti wa Mbowe aliyepokea wadhifa huo kutoka kwa Bob Makani ...
Usiku wa kwanza unapinduka katika viunga vya Mlimani City, unakofanyika uchaguzi wa nafasi ya uenyekiti wa Chadema na Makamu ...
Hoja tatu zimeibuka baina ya wagombea wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) huku wajumbe ...
Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imemtangaza Jacqueline Woiso kama Mkurugenzi wake mkuu mpya kuanzia Januari 10, ...
Baadhi ya mabalozi wa CCM wilayani Sengerema, Mkoa wa Mwanza, wanamlalamikia Katibu wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Tawi la ...
Rais wa Marekani, Donald Trump, yuko katika harakati za kufukuza maelfu ya wafanyakazi wa Ikulu ambao hawaendani na maono ...
Wakati wananchi wa Kata ya Kilolambwani Manispaa ya Lindi wakilalamika kupata changamoto ya upatikanaji wa maji, Wakala wa ...
WHO iliahidi msaada wa Dola 3 milioni za Marekani kwa Tanzania kudhibiti ugonjwa huo, pamoja na Dola 50,000 kwa ajili ya ...
Serikali imesema bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya kuiba mita za maji inayomkabili mfanyabiashara Daud George (28).
Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa, Ally Khatibu, amesema Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kinavuta hisia za ...