Rais wa Marekani, Donald Trump, amesaini amri kadhaa za kiutendaji baada ya kuapishwa, ikiwemo kufuta haki ya uraia wa kuzaliwa kwa watoto wa wahamiaji haramu na wenye viza za muda.
Dar es Salaam. Wakati ulinzi wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ukiwa umeimarishwa katika mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baadhi ya wafuasi wa chama hicho wametaka ...