Hoja tatu zimeibuka baina ya wagombea wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) huku wajumbe ...
Baadhi ya mabalozi wa CCM wilayani Sengerema, Mkoa wa Mwanza, wanamlalamikia Katibu wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Tawi la ...
Kampuni ya Serengeti Breweries Limited (SBL) imemtangaza Jacqueline Woiso kama Mkurugenzi wake mkuu mpya kuanzia Januari 10, ...
Rais wa Marekani, Donald Trump, yuko katika harakati za kufukuza maelfu ya wafanyakazi wa Ikulu ambao hawaendani na maono ...
Wakati wananchi wa Kata ya Kilolambwani Manispaa ya Lindi wakilalamika kupata changamoto ya upatikanaji wa maji, Wakala wa ...
WHO iliahidi msaada wa Dola 3 milioni za Marekani kwa Tanzania kudhibiti ugonjwa huo, pamoja na Dola 50,000 kwa ajili ya ...
Serikali imesema bado inaendelea na uchunguzi katika kesi ya kuiba mita za maji inayomkabili mfanyabiashara Daud George (28).
Kama kuna jambo linaloweza kuleta matumaini kwa siku za baadaye ni kuanzishwa kwa mfumo wa elimu nchini, ambao unakonga nyoyo ...
Wakati ulinzi wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ukiwa umeimarishwa katika mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na ...
Waziri wa Afya, Jenister Mhagama, ameiagiza bodi mpya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuharakisha mchakato wa ...
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesaini amri kadhaa za kiutendaji baada ya kuapishwa, ikiwemo kufuta haki ya uraia wa ...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu, amesema kwa vyovyote itakavyokuwa katika uchaguzi wa chama hicho, atakuwa ...