资讯

Arusha. Ubalozi wa Marekani nchini umethibitisha kuwa miradi ya maendeleo iliyokuwa ikitekelezwa kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) itarejeshwa, licha ya shirika hilo ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dk Peter Kisenge wakishikana mkono na Mratibu wa Taasisi ya BAPS Charities Kapil Dave baada ya kupokea msaada wa Sh250 kwa ajili ya JKCI na ...
Moja ya mabasi ya kusafirisha abiria wa SGR katika vituo vya Morogoro na Dodoma yaliyotangazwa leo Jumamosi Septemba 13, 2025. Dar es Salaam. Kampuni ya mabasi ya Faima imetambulishwa rasmi na Shirika ...
Rais Mstaafu Dk Mohamed Shein akimkabidhi ilani mgombea wa CCM, Dk Hussein Mwinyi wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho katika viwanja vya Mnazimmoja Unguja Zanzibar Unguja. Rais mstaafu wa ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara Pius Lutumo (kulia) akimkabidhi funguo za gari, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (RCO) wa mkoa huo, Elisha Kussula, ikiwa ni sehemu ya magari 16 yaliyotolewa na ...
Dodoma. Mahakama Kuu Masijala Kuu-Dodoma, imemrejesha kwenye kinyang’anyiro cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mgombea wa chama cha ACT-Wazalendo Luhaga Mpina. Kesi hiyo ilikuwa ...
Kocha mkuu wa Yanga, Romain Folz amesema wachezaji wà timu wapo tayari kwa ajili ya mechi ya kirafiki ya kesho dhidi ya Bandari Kenya, aliosema utakuwa na mvuto wa aina yake, huku akiitaja Simba.
Kocha Mkuu wa Bandari, Ken Odhiambo amesema anafahamu wanacheza na timu bora iliyo na wachezaji bora maandalizi yao ni mazuri na wapo tayari kwa mchezo. Akizungumza na wanahabari amesema wataingia ...
Bangkok. Mahakama Kuu ya Thailand imeamuru waziri mkuu wa zamani, Thaksin Shinawatra, kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya kubaini hakutimiza ipasavyo kifungo chake cha awali alichotumia ...
Lisbon, Ureno. Nyota wa Al Nassr na timu ya taifa ya Ureno, Cristiano Ronaldo ameendelea kuikimbizia rekodi ya kufikisha idadi ya kufunga mabao 1000 ya michuano rasmi baada ya kuongeza katika mchezo ...
Dar es Salaam. Viongozi, wanachama na wapenzi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo watalazimika kugawana kumbi za Mahakama katika kufuatilia mienendo ya kesi mbili tofauti ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Wakati ...