资讯
Arusha. Ubalozi wa Marekani nchini umethibitisha kuwa miradi ya maendeleo iliyokuwa ikitekelezwa kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) itarejeshwa, licha ya shirika hilo ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dk Peter Kisenge wakishikana mkono na Mratibu wa Taasisi ya BAPS Charities Kapil Dave baada ya kupokea msaada wa Sh250 kwa ajili ya JKCI na ...
Moja ya mabasi ya kusafirisha abiria wa SGR katika vituo vya Morogoro na Dodoma yaliyotangazwa leo Jumamosi Septemba 13, 2025. Dar es Salaam. Kampuni ya mabasi ya Faima imetambulishwa rasmi na Shirika ...
Rais Mstaafu Dk Mohamed Shein akimkabidhi ilani mgombea wa CCM, Dk Hussein Mwinyi wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho katika viwanja vya Mnazimmoja Unguja Zanzibar Unguja. Rais mstaafu wa ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara Pius Lutumo (kulia) akimkabidhi funguo za gari, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (RCO) wa mkoa huo, Elisha Kussula, ikiwa ni sehemu ya magari 16 yaliyotolewa na ...
Dodoma. Mahakama Kuu Masijala Kuu-Dodoma, imemrejesha kwenye kinyang’anyiro cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mgombea wa chama cha ACT-Wazalendo Luhaga Mpina. Kesi hiyo ilikuwa ...
Bangkok. Mahakama Kuu ya Thailand imeamuru waziri mkuu wa zamani, Thaksin Shinawatra, kutumikia kifungo cha mwaka mmoja jela, baada ya kubaini hakutimiza ipasavyo kifungo chake cha awali alichotumia ...
Dodoma. Mawakili wa Chama cha ACT -Wazalendo na wale wa Serikali wameshaingia na kuketi kwenye viti vyao mahakamani tayari kwa ajili ya kesi ya Luhaga Mpina aliyeenguliwa na Tume Huru ya Taifa ya ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Arusha. Serikali imesisitiza kuwa hakuna leseni iliyotolewa wala itakayotolewa kwa ajili ya uchimbaji wa magadi soda ndani ya Ziwa Natron pamoja na tafiti kuonyesha wingi wa magadi hayo. Pamoja na ...
Tanga. Uchaguzi wa wajumbe wa Kamati ya Utendaji umepeleka kilio kwa waliokuwa wajumbe wa Kanda Namba Moja Lameck Nyambaya na namba tano Vedastus Lufano baada ya kuanguka. Nyambaya ambaye alikuwa ...
Jamhuri ya Afrika ya Kati leo Agosti 13, 2025 imekuwa timu ya pili kuaga Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) 2024 ikifuata nyayo za Nigeria. Kichapo cha mabao 2-0 ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果