资讯

Arusha. Ubalozi wa Marekani nchini umethibitisha kuwa miradi ya maendeleo iliyokuwa ikitekelezwa kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) itarejeshwa, licha ya shirika hilo ...
Moja ya mabasi ya kusafirisha abiria wa SGR katika vituo vya Morogoro na Dodoma yaliyotangazwa leo Jumamosi Septemba 13, 2025. Dar es Salaam. Kampuni ya mabasi ya Faima imetambulishwa rasmi na Shirika ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dk Peter Kisenge wakishikana mkono na Mratibu wa Taasisi ya BAPS Charities Kapil Dave baada ya kupokea msaada wa Sh250 kwa ajili ya JKCI na ...
Tirana. Albania imeweka rekodi ya dunia kwa kuwa nchi ya kwanza kuteua waziri aliyeundwa kwa akili bandia (AI), siyo waziri wa teknolojia ya AI, bali waziri halisi wa kidijitali, aliyeundwa kwa ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara Pius Lutumo (kulia) akimkabidhi funguo za gari, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (RCO) wa mkoa huo, Elisha Kussula, ikiwa ni sehemu ya magari 16 yaliyotolewa na ...
Rais Mstaafu Dk Mohamed Shein akimkabidhi ilani mgombea wa CCM, Dk Hussein Mwinyi wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho katika viwanja vya Mnazimmoja Unguja Zanzibar Unguja. Rais mstaafu wa ...
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew.
Dodoma. Mahakama Kuu Masijala Kuu-Dodoma, imemrejesha kwenye kinyang’anyiro cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, mgombea wa chama cha ACT-Wazalendo Luhaga Mpina. Kesi hiyo ilikuwa ...
Hatua hiyo inaifanya Serikali kusimama kikamilifu katika utekelezaji wa mkakati unaolenga kufikia 2034 asilimia 80 ya Watanzania wawe wanatumia nishati safi ya kupikia. Mhandisi Mramba amesema ni ...
Dar es Salaam. Azam FC imethibitisha kuachana rasmi na wachezaji wanne wa kigeni waliokuwa sehemu ya timu msimu uliopita. Wachezaji hao ni Jhonier Blanco, Mamadou Samake, Franck Tiesse na Ever Meza.
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Polisi ...