资讯
Arusha. Ubalozi wa Marekani nchini umethibitisha kuwa miradi ya maendeleo iliyokuwa ikitekelezwa kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) itarejeshwa, licha ya shirika hilo ...
Moja ya mabasi ya kusafirisha abiria wa SGR katika vituo vya Morogoro na Dodoma yaliyotangazwa leo Jumamosi Septemba 13, 2025. Dar es Salaam. Kampuni ya mabasi ya Faima imetambulishwa rasmi na Shirika ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dk Peter Kisenge wakishikana mkono na Mratibu wa Taasisi ya BAPS Charities Kapil Dave baada ya kupokea msaada wa Sh250 kwa ajili ya JKCI na ...
Tirana. Albania imeweka rekodi ya dunia kwa kuwa nchi ya kwanza kuteua waziri aliyeundwa kwa akili bandia (AI), siyo waziri wa teknolojia ya AI, bali waziri halisi wa kidijitali, aliyeundwa kwa ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara Pius Lutumo (kulia) akimkabidhi funguo za gari, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (RCO) wa mkoa huo, Elisha Kussula, ikiwa ni sehemu ya magari 16 yaliyotolewa na ...
Rais Mstaafu Dk Mohamed Shein akimkabidhi ilani mgombea wa CCM, Dk Hussein Mwinyi wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho katika viwanja vya Mnazimmoja Unguja Zanzibar Unguja. Rais mstaafu wa ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果