Kentucky, MAREKANI MSANII wa kizazi kipya anayefanya vyema nchini Marekani, Omari K, ameweka wazi ujio wa albamu yake fupi (EP) aliyoipa jina la I AM ...
Katika jitihada za kujenga nguvu kazi yenye ushindani na ubunifu wanafunzi wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) sasa wataongezewa ujuzi na maarifa ili kukabiliana na changamoto za soko la ajira.