资讯

Safaricom: Mzozo wa Tigray ni hatari kwa uwekezaji Ethiopia. Serikali ya Marekani katika siku za hivi karibuni iliweka vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Ethiopia, ikitaja ukiukaji wa haki za binadamu.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni kubwa zaidi ya mawasialiano ya simu Afrika Mashariki Safaricom, Bob Collymore ameaga dunia, kampuni hiyo imethibitisha. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Safaricom ...