资讯

Baada ya kurudishwa nyuma mwaka mmoja kwa sababu ya maswala ya ratiba, michuano itaanza Jumamosi, Julai 5 wakati wenyeji ...
ACCRA, July 15 (Xinhua) -- Ghana will collaborate with the Health Community of West Africa (HCOWA), a Ghana-based Chinese private firm, to improve healthcare and lay the foundation for artificial ...
Wakati huohuo Uganda Cranes ilishindwa kujizolea alama tatu dhidi ya Taifa Stars ya tanzania nyumbani.
Mkuu wa Tiba Jeshini, Meja Jenerali Amri Mwami, amesema Tanzania inaendelea kuaminiwa na jumuiya ya kimataifa kutokana na mchango wake mkubwa katika ulinzi wa amani duniani. Akizungumza jana mkoani Da ...
Timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania 'Twiga Stars' leo inahitaji ushindi wa pointi tatu dhidi ya Ghana ili kujihakikishia ...
Kundi F, ambalo lina Ghana, Kenya, Ethiopia na Sierra Leon, timu zote zina alama tatu baada ya kucheza mechi mbili.
Twiga Stars imeondolewa kwenye mashindano ya WAFCON 2024 yanayoendelea huko Morocco baada ya kupoteza mchezo wa mwisho wa hatua ya makundi dhidi ya Ghana kwa mabao 4-1.
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ambaye aliwasili Ghana Jumapili anatarajia kuzuru Tanzania siku ya Jumatano wiki hii. Tanzania ndiyo kituo kinachofuata cha makamu wa rais kabla ya ...
Simba wa nyika Kamerun,Morocco na Angola zimeshatia tiketi zao kwenda Ghana 2008 kwa finali za Kombe la Afrika. Tanzania-Taifa Stars hatima yao itategemea ushindi nyumbani dhidi ya Msumbiji.
TIMU ya taifa ya soka ya wanawake, Twiga Stars leo inahitaji ushindi wa pointi tatu dhidi ya Ghana ili kufuzu robo fainali ya ...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris anayefanya ziara barani Afrika leo Jumatatu atakutana na Rais wa Ghana Nana Akufo-Addo na siku ya Jumatano anatarajiwa kuzuru Tanzania na kisha atakwenda ...
Chuo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani cha Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kimechaguliwa na Umoja wa Mataifa (UN) kuwa mwenyeji wa mafunzo ya kipekee kwa ajili ya maafisa wanadhimu wa jesh ...