资讯

Katika tukio lililopambwa na sifa, vicheko na machozi ya furaha, waandaaji wa The Pinnacle of Mentorship & Excellence Awards (PIMEA) wameandika historia mpya kwa kutoa heshima kwa wanawake mashuhuri ...
DAR ES SALAAM; MWIMBAJI wa muziki wa Injili Rose Muhando alikonga nyoyo za mashabiki kwenye Tamasha la mtoko wa Pasaka lililofanyika usiku wa jana Dar es Salaam. Rose ambaye watu hupenda kumwita ...
Makipa hao ambao wote ni raia wa kigeni, Camara akitokea Guinea na Diarra nchini Mali, wamekuwa wakicheza kikosi cha kwanza kwenye klabu zao sambamba na timu za taifa. Liverpool imeongeza juhudi ...
Rose amekuwa mtu wa kulalama na hakuna mwenye uthubutu wa kumsaidia. Wote wameshamchoka. Rose ni kama Chidi Benz. Fundi sana wa Hip Hop, ana nyota, swaga na mapafu ya kutosha jukwaani. Tatizo Chidi ...
Miaka ya 2000 mwanzoni. Natoka Moro kurudi Dar. Kilichonipeleka huko ni shoo ya Joseph Mbilinyi ‘Sugu’. Akiwaaga mashabiki wa Moro baada ya kutangaza kuachana na muziki. Kwa kile alichodai kutaka ...
Maisha uliyoishi zamani hayawezi kukukwamisha kufikia malengo uliyojiwekea. Hakuna mtu ambaye alifikiri leo hii Rose Muhando angeweza kuwa mwanamuziki mkubwa wa nyimbo za Injili anayelipwa fedha ...