SAFARI ndefu ya siku 365 1/4 ya mwaka 2024 iliyojaa milima na mabonde inaelekea ukingoni ili kuukaribisha mwaka mwingine wa 2025 ambao unatarajiwa kuanza Jumatano ya wiki ijayo. Mwaka 2024 ulikuwa na ...
Baada ya shamrashamra za sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya, wazazi wengi wamejikuta wakikumbana na hali ngumu ya kifedha. Kwa walio wengi, Januari ni mwezi wenye vilio, na mikasa ya kudaiana kwa ...