Aliyekuwa Waziri wa Nishati, ambaye ni Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema Steven Wasira kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa ni sahihi kwani amekulia katika misingi ya chama.
Napoli wako tayari kumsajili mshambuliaji wa Manchester United Marcus Rashford, PSG wanakaribia kumnunua winga wa Napoli Khvicha Kvaratskhelia na Barcelona wanamtaka mshambuliaji wa Newcastle ...
Malala Yousafzai amewataka viongozi wa Kiislamu kuipinga serikali ya Taliban nchini Afghanistan na sera zake za ukandamizaji kwa wasichana na wanawake. "Kwa ufupi, Taliban nchini Afghanistan ...
Mara nyingi tumekuwa tukiona tatizo la kutopenda kula zaidi nyakati za utotoni, lakini kumbe tatizo hili linaweza kujitokeza ukubwani, chanzo kikiwa tatizo la kisaikolojia au kiakili. Anorexia Nervosa ...
Dar es Salaam. Ukomo wa hedhi (menopause) ni kipindi cha maisha ya mwanamke kinachotokea afikiapo umri wa miaka kati ya 45 hadi 55, japo wapo wanaoweza kupata mapema au kwa kuchelewa. Hali hii ...