LONDON, ENGLAND: MCHAKAMCHAKA wa Ligi Kuu England utaendelea tena wiki hii, ambapo macho na masikio ya wengi yatakuwa huko ...
Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30.
Klabu ya Qatar SC ya Qatar imetangaza kumsajili nyota wa kimataifa wa Afrika Kusini, Percy Tau kutoka Al Ahly ya Misri.
TIMU ya Taifa ya Zanzibar Heroes, imefanikiwa kubeba ubingwa wa Kombe la Mapinduzi 2025 baada ya kuifunga Burkina Faso mabao ...
SHABIKI kindakindani wa Arsenal, mtu maarufu, Piers Morgan amemwambia kocha Mikel Arteta anapaswa kuwaambia mabosi wavunje ...
KOCHA wa Napoli, Antonio Conte anapiga hesabu kwenda kuvamia Tottenham kumchukua Dejan Kulusevski ili akachukue mikoba ya ...
AC Milan italazimika kuchagua kati ya Kyle Walker na Marcus Rashford kwa sababu kanuni mpya ya sasa miamba hiyo ya Italia ...
Yani ni kama vile pengo la pointi sita lililopo baina yao na timu nyingine haliwezi kufikiwa. Wanajisahau kwamba timu ...
IMEKUWA ni kama jambo la kawaida kwa mashabiki wa Simba kuiona timu yao ikifuzu robo fainali kwenye michuano inayosimamiwa na ...
DAKIKA 90 za Jumamosi ya Januari 18, 2025 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa dhidi ya MC Alger, zimebeba hatma ya Wananchi msimu ...
YANGA imekamilisha kazi ya kwanza ugenini kwa kuichapa Al Hila bao 1-0 juzi Jumapili, kazi ya pili iliyobaki ni kuichapa MC ...
KIKOSI cha Simba kimefuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika baada ya juzi kutoka sare ya kufungana bao 1-1 ...