Wagombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Zanzibar na Tanzania Bara, wamesema chama hicho kinahitaji mabadiliko ya kweli ili kuuaminisha umma katika kupigania haki zao za msingi.
Uvumi unaodai kuwa Barack Obama anatoka kimapenzi na Jennifer Aniston, umeibuka kwenye mitandao ya kijamii huku kukiwa na tetesi za talaka kati yake na Michelle Obama, umeripoti mtandao wa ...
Kesi ya mauaji inayowakabili viongozi watano wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kilolo, imeahirishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Iringa kwa kuwa upelelezi wake haujakamilika.
Kwa kawaida, siku ya kwanza wanafunzi wanaporipoti hasa shule za awali maarufu chekechea na darasa la kwanza, visa na mikasa huwa sehemu ya maisha ya shule kama ambavyo baadhi ya wazazi na ...