Uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani kusaini amri ya kiutendaji inayopinga mapenzi ya jinsia moja umeonekana kuwa nafuu ...
Hali ya ulinzi si suala la kutilia shaka katika viunga vya Mlimani City, Dar es Salaam, kunapofanyika mkutano wa uchaguzi wa ...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaanza kuendeshwa kwa “mizuka” au ni uthibitisho wa mahaba makubwa ambayo wajumbe wa Mkutano Mkuu ...
Maandalizi ya ukumbi watakapokaa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), watakaoamua hatima ...
Mwandishi wa Mwananchi aliyepiga kambi eneo hilo ameshuhudia magari manne ya polisi yakiwa na askari wa kutuliza ghasia (FFU) ...
Leo, Januari 21, 2025 Chadema inatimiza miaka 32 tangu ilipopata usajili wa kudumu mwaka 1993 baada ya kuasisiwa 1992.
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesaini amri kadhaa za kiutendaji baada ya kuapishwa, ikiwemo kufuta haki ya uraia wa kuzaliwa kwa watoto wa wahamiaji haramu na wenye viza za muda.
Dar es Salaam. Wakati ulinzi wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam ukiwa umeimarishwa katika mkutano mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baadhi ya wafuasi wa chama hicho wametaka ...
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Mlimba limeazimia kuwafukuza kazi watumishi wawili wa halmashauri hiyo kwa kile ...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ametoa wito kwa Watanzania, wakiwemo waathirika wa vitendo vya ukatili wa kijinsia, ...
Uteuzi wa Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu mwaka huu umewasha taa ya ...
Wakati Rais mpya wa Marekani, Donald Trump akiapa leo Jumatatu Januari 20, 2025 kuliongoza Taifa hilo lenye nguvu duniani, ...