Arusha. Ubalozi wa Marekani nchini umethibitisha kuwa miradi ya maendeleo iliyokuwa ikitekelezwa kupitia Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Marekani (USAID) itarejeshwa, licha ya shirika hilo ...
Moja ya mabasi ya kusafirisha abiria wa SGR katika vituo vya Morogoro na Dodoma yaliyotangazwa leo Jumamosi Septemba 13, 2025. Dar es Salaam. Kampuni ya mabasi ya Faima imetambulishwa rasmi na Shirika ...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dk Peter Kisenge wakishikana mkono na Mratibu wa Taasisi ya BAPS Charities Kapil Dave baada ya kupokea msaada wa Sh250 kwa ajili ya JKCI na ...
Dar es Salaam. Kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Jumanne Julai Mosi, 2025, zinaendelea kunguruma katika hatua tofauti. Lissu ...
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars leo itashuka kwenye Uwanja wa Stade Municipal de Berkane nchini Morocco, kuivaa Mali katika mchezo wa kwanza wa kundi C kwenye michuano ya Kombe la ...
Rais Mstaafu Dk Mohamed Shein akimkabidhi ilani mgombea wa CCM, Dk Hussein Mwinyi wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho katika viwanja vya Mnazimmoja Unguja Zanzibar Unguja. Rais mstaafu wa ...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara Pius Lutumo (kulia) akimkabidhi funguo za gari, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (RCO) wa mkoa huo, Elisha Kussula, ikiwa ni sehemu ya magari 16 yaliyotolewa na ...
Morogoro. Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (Sua) kimeanzisha programu sita za shahada za kufundishia walimu masomo ya amali wa shule za sekondari nchini. Lengo walimu hao watakapohitimu wawe na ujuzi ...
Dar es Salaam. Chama cha siasa cha Wakulima (AAFP) leo kimemteua rasmi kada wake, Kunje Ngombale-Mwiru kuwa mgombea wa urais atakayewakilisha chama hicho katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika ...
Doha. Serikali ya Qatar imesema imefunga anga lake kwa muda kama sehemu ya hatua zinazochukuliwa kufuatia matukio yanayoendelea katika eneo la Mashariki ya Kati. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara ya ...
Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu akiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumatatu Juni 2, 2025 inaanza kupokea ushahidi wa Serikali katika ...