Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amempongeza na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan kwa juhudi zake za kustawisha ustawi wa kidemokrasia ...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Bara, Abdulrahaman Kinana amesema sheria ya uchaguzi iliyopitishwa na Bunge hivi karibuni imekidhi mahitaji ya Kimataifa na Afrika. Hayo ameyabainisha leo ...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa. Na Clara Matimo, Mwanza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amesema wakazi wote waliovamia, kujenga nyumba na kuishi ...
Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo. Na Norah Damian, Mtanzania Digital Ni mtego! ndivyo unavyoweza kusema baada ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo kusema watachukua hatua ...
Katika kuhakikisha kwamba inasaidia jamii ya Watanzania kampuni ya mawasiliano ya simu za mkononi ya Halotel Tanzania imekabidhi msaada kwa kituo cha watoto yatima Mkoa wa Dar es Salaam kama moja ya ...
Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri wa Ardhini kutoka LATRA kwa kushirikiana na Shirika la Asasi za Kiraia nchini (FCS), wamesaini mkataba wa makubaliano ya miaka mitatu ya programu ...
Wakala wa Usalama na Afya Mahali pa Kazi (OSHA) umekamilisha tathmini ya awali ya vihatarishi vya usalama na afya (baseline occupational safety and health risk assessment) katika eneo la mradi wa ...
Serikali imeeleza kuwa inatambua kuwa kuna tofauti nyingi nchini ikiwemo za makabila na madhehebu lakini tunu inayounganisha watu wote ni haki, uhuru, umoja na amani ambayo Mwenyezi Mungu ameijalia ...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amewasili nchini Finland kwa ziara ya siku 3 kushiriki mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Nchi za Afrika na Nchi ...
Mkuu wa Chuo cha Bahari Dar es Salaama (DMI), Dk. Tumaini Gurumo amesema chuo hicho kimeingia makubaliano ya miaka mitano ya kubadilishana uzoefu wa elimu ya Ubaharia na Ujenzi wa Meli na Chuo cha ...
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Jamal Adam Katundu, akimkabidhi zawadi Mtendaji Mkuu wa Idara ya OSHA nchini Kenya, Dk. Musa Nyandusi wakati wa ziara yao ...
WAZIRI Mkuu Kasimu Majaliwa amesema katika mchakato wa kutokomeza Malaria Watanzani wote watapata huduma ya kutibu malaria bure katika vituo vyote vya afya nchini. Akizungumza leo Aprili 25, jijini Da ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results