CHUO Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimeanda kambi maalum ya huduma za uchunguzi wa afya kuanzia ...
DAR ES SALAAM: CHUO Kikuu Cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) kimesema kitafanya uzinduzi wa Mfuko ...
TANGA: RAIS Samia Suluhu Hassan amezindua jengo jipya la Halmashauri ya Bumbuli, mkoani Tanga, akisisitiza umuhimu wa ...
KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi ( CCM) Taifa, Ally Hapi, amesema kauli za Mwenyekiti wa Chadema na ...
MCHEKESHAJI mkongwe, Lucas Mhavile ‘Joti’ ameng’ara baada ya kutwaa tuzo mbili huku mchekeshaji Leonard Datus ‘Leonardo’ ...
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema mashindano ya kimataifa ya Kurani yanajenga jamii yenye maadili, pia yana manufaa kwa ...
RAIS Samia Suluhu Hassan ametaka mashindano ya kimataifa ya Kurani yatumike kudumisha amani, upendo na mshikamano. Alisema ...
CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimewaondoa masomoni wanafunzi 121 waliopatikana na hatia ya kuhusika kuchezea matokeo ya ...
SERIKALI imesema ipo tayari kukutana na viongozi wa vijana waliojitambulisha kuwa ni Umoja wa Walimu Wasio na Ajira (NETO).
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Hospitali ya Wilaya ya Handeni itakuwa maalumu kwa ajili ya tiba ya mifupa. Alisema hayo ...
ZANZIBAR: KAMPUNI ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO) imebuka ...
NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dk. Hussein Mohamed ameiagiza Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kuendelea kuhamasisha ...