SERIKALI imesema ipo tayari kukutana na viongozi wa vijana waliojitambulisha kuwa ni Umoja wa Walimu Wasio na Ajira (NETO).
RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Hospitali ya Wilaya ya Handeni itakuwa maalumu kwa ajili ya tiba ya mifupa. Alisema hayo ...
CHUO Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimewaondoa masomoni wanafunzi 121 waliopatikana na hatia ya kuhusika kuchezea matokeo ya ...
ZANZIBAR: KAMPUNI ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme nchini (ETDCO) imebuka ...
NAIBU Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Dk. Hussein Mohamed ameiagiza Bodi ya Korosho Tanzania (CBT) kuendelea kuhamasisha ...
SERIKALI ya Tanzania imehimiza nchi za Afrika zifanye jitihada kuongeza uzalishaji na tham[1]ani ya zao la kahawa.
MBEYA: WATAALAM wa Utekelezaji wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria inayojulikana kama” Mama Samia Legal Aid (MSLAC) ...
NCHI 25 zinazozalisha kahawa Afrika zimekubaliana kushirikiana kufanya tafiti na kuongeza thamani ya zao hilo ili kupata ...
Katibu Mwenezi wa TLP Taifa, Geofrey Stephen alisema hayo jijini Arusha jana wakati akizungumza na wanahabari. Stephen ...
WAZIRI wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa ameliagiza Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) lihakikishe safari za ndege za ...
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Dk Batilda Burian amesema, Rais Samia ataanza ziara katika eneo la Mkata wilayani Handeni. Dk Burian ...
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imezindua hatifungani inayozingatia misingi ya sheria ya Kiislamu inayoitwa Zanzibar ...