Dar es Salaam. Safari ya siku 19,154 za maisha ya mwanahabari Sharon Sauwa imehitimishwa leo baada ya maziko yake yaliyofanyika katika makaburi ya familia yaliyopo nyumbani kwao Pugu Mwakanga, jijini ...