资讯

Mwanamuziki nguli na mwanaharakati wa Zimbabwe, Oliver Mtukudzi amefariki baada ya kutumikia sanaa kwa miongo minne. Alipata umaarufu mwanzoni mwa miaka ya 1970 akitumia muziki wake kupigania usawa ...