资讯

WANASIMBA wanaua ndege wawili kwa jiwe moja. Kwanza wanashangweka na msimu wa 16 tangu kuasisiwa kwa Simba Day, lakini wakiadhimisha pia miaka 89 tangu kuanzishwa kwa klabu hiyo 1936 huku ikijivunia ...
Ofisa Habari wa Simba, Ahmed Ally, amesema timu ya Gor Mahia kutoka Kenya ambayo itacheza mechi ya kirafiki kwenye kilele cha wiki ya Simba Day itawasili usiku wa leo hapa nchini. Leo Simba ...