Makala ya Gurudumu la Uchumi, tutajadili kuhusu nidhamu ya kuweka akiba ya fedha. Kuzungumzia hili msikilizaji kwenye line ya simu nimemualika Ali Mkimo, mchambuzi na mtaalamu wa masuala ya uchumi ...
Baraza la usalama la umoja wa Mataifa, mwishoni mwa juma limepitisha azimio kuunga mkono uundwaji wa kikosi kipya cha bara Afrika cha kulinda amani nchini Somalia, kikosi hiki kikichukua nafasi ya ...