Kentucky, MAREKANI MSANII wa kizazi kipya anayefanya vyema nchini Marekani, Omari K, ameweka wazi ujio wa albamu yake fupi (EP) aliyoipa jina la I AM ...
Makala ya Gurudumu la Uchumi, tutajadili kuhusu nidhamu ya kuweka akiba ya fedha. Kuzungumzia hili msikilizaji kwenye line ya simu nimemualika Ali Mkimo, mchambuzi na mtaalamu wa masuala ya uchumi ...
ENZI hizo tukiwa shule za msingi, kila Alhamisi ya mwisho wa mwezi, mwalimu wa zamu alikuwa akitutangazia kuwa kesho Ijumaa, atakuja mtu kuonesha mazingaombwe, hivyo kila mmoja aje na kiingilio. ENZI ...
Napoli wako tayari kumsajili mshambuliaji wa Manchester United Marcus Rashford, PSG wanakaribia kumnunua winga wa Napoli Khvicha Kvaratskhelia na Barcelona wanamtaka mshambuliaji wa Newcastle ...
Chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, kitawachagua vongozi wa ngazi ya juu wa chama hicho, Januari tarehe 21. Kibarua kigumu kipo kwenye ushindani wa nafasi ya Mwenyekiti.Freeman Mbowe ...
Malala Yousafzai amewataka viongozi wa Kiislamu kuipinga serikali ya Taliban nchini Afghanistan na sera zake za ukandamizaji kwa wasichana na wanawake. "Kwa ufupi, Taliban nchini Afghanistan ...
Mara nyingi tumekuwa tukiona tatizo la kutopenda kula zaidi nyakati za utotoni, lakini kumbe tatizo hili linaweza kujitokeza ukubwani, chanzo kikiwa tatizo la kisaikolojia au kiakili. Anorexia Nervosa ...
Kelele zinaweza kuleta madhara ya kiafya au kuchokoza tatizo la kiafya la mgonjwa, ikiwamo wagonjwa wa shinikizo la juu la damu. Katika maisha ya kila siku ya wanadamu tunakumbana na kila aina ya ...