MUDA wowote Tabora United inaweza kumtangaza kipa raia wa Gabon, Jean Noel Amonome baada ya kukamilika ishu ya makubaliano ya ...
BAADA ya kukosa nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Singida Black Stars, beki Rashid Kawambwa amepelekwa Polisi Tanzania ...
BAADA ya kukaa nje ya uwanja kwa takribani miezi sita, taarifa zimefichua kuwa mshambuliaji, Eliuter Mpepo amemalizana na ...
HABARI zinabainisha kwamba Dodoma Jiji imekamilisha usajili wa beki Mukrim Issa aliyekuwa akiitumikia Coastal Union tangu ...
KIUNGO wa zamani wa Mbeya City, Yanga na Namungo, Raphael Daudi Loth amekamilisha uhamisho wake kwa mkopo wa miezi sita ...
KOCHA wa Arsenal, Mikel Arteta ameonyesha wasiwasi juu ya afya ya straika Gabriel Jesus aliyeumia na kuhitaji msaada wa ...
KOCHA wa Napoli, Antonio Conte amewasilisha jina la winga wa Manchester United, Alejandro Garnacho, 20, kwa mabosi wa timu ...
KIUNGO wa Manchester United, Bruno Fernandes amemmwagia sifa kinda wa miamba hiyo, Alejandro Garnacho baada ya kuonyesha ...
Harry Kane anaamini kwamba msimu huu atamaliza nuksi ya kutotwaa mataji kwani timu yake Bayern Munich ina kila kigezo cha ...
LEO, timu ya taifa ya Zanzibar 'Zanzibar Heroes' itacheza fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Burkina Faso katika ...
TUANZIE wapi? Tukianza na Luanda, Angola tunaanza kukutana na kosa la Che Malone Fondoh. Imekuwa kawaida kwa sasa Che Malone ...
Tanzania Prisons ni miongoni mwa timu zinazopambana kukwepa kushuka daraja baada ya kutokuwa na mwendelezo mzuri kwenye Ligi ...