Mwandishi wa Mwananchi aliyepiga kambi eneo hilo ameshuhudia magari manne ya polisi yakiwa na askari wa kutuliza ghasia (FFU) ...
Leo, Januari 21, 2025 Chadema inatimiza miaka 32 tangu ilipopata usajili wa kudumu mwaka 1993 baada ya kuasisiwa 1992.
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango ametoa wito kwa Watanzania, wakiwemo waathirika wa vitendo vya ukatili wa kijinsia, ...
Uteuzi wa Dk Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza wa Chama cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu mwaka huu umewasha taa ya ...
Donald Trump ameapishwa kuwa Rais wa 47 wa Marekani leo Jumatatu, Januari 20, 2025, katika sherehe rasmi iliyofanyika kwenye ...
Thamani na shughuli za biashara katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) imeongezeka kwa mwaka 2024 licha ya changamoto ...
Neema Samweli (21), mkazi wa Wilaya ya Siha, Mkoa wa Kilimanjaro na mwenyeji wa Mkoa wa Mara, anatuhumiwa kumuua kwa ...
Wakati Rais mpya wa Marekani, Donald Trump akiapa leo Jumatatu Januari 20, 2025 kuliongoza Taifa hilo lenye nguvu duniani, ...
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malasusa amesema nchi imekuwa ikishuhudia ongezeko la talaka ...
Kuapishwa kwa Donald Trump kuwa Rais wa 47 wa Marekani na ahadi yake ya kusaini amri za kiutendaji takriban 200, huenda ...
Wafuasi wa Lissu wanampinga Mbowe kwa hoja kuwa, wanahitaji mabadiliko baada ya miaka 21 ya uongozi wake bila mafanikio ya ...
Hali ya majonzi na simanzi imetawala katika mioyo na nyuso za mamia ya waombolezaji katika maziko ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ...