资讯

DAR-ES-SALAAM : TANZANIA imeandika historia kwa kuwa mwenyeji wa hafla ya Tuzo za 32 za Utalii Duniani (World Travel Awards) ...
MULEBA: KIONGOZI mwandamizi Chama cha Wanasheria (TLS) Mkoa wa Arusha, Fortunatus Muhalila amechukua fomu ya kuomba ridhaa ...
Mnada huo umefanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu mkoani humo ambapo bei ya juu ikiwa ni Sh 2,700 na bei ya chini ...
IRINGA: Mbunge wa Jimbo la Kalenga, Jackson Kiswaga, amechukua rasmi fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania tena ubunge wa jimbo ...
Jopo la majaji, lililokuwa likifanya kazi kwa bidii kutathmini kazi zote zilizowasilishwa, limemaliza kazi yake na ...
ARUSHA: Kinyang’anyiro cha udiwani na ubunge kwa Mkoa wa Arusha kimeanza ambapo Mbunge wa Jimbo la Monduli, Fredy Lowassa ...
IRINGA: ALIYEKUWA kuwa Mbunge wa Iringa Mjini kwa miaka 10, Mchungaji Peter Msigwa, amechukua fomu kuwania ubunge Iringa ...
Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuchukua fomu katika ofisi ya CCM wilaya ya Iringa Mjini, Ngajilo ...
CHATO: Mwandishi wa habari mwandamizi wa habari za uchunguzi aliyejikita kutetea haki za binadamu, Cosmas Makongo amechukuwa ...
DODOMA: RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amelielekeza Jeshi la Polisi nchini kuongeza kasi na juhudi katika kupambana ...
DODOMA — Rais Samia Suluhu Hassan, ametahadharisha kuwa vyombo vya dola vitakuwa macho kipindi chote cha uchaguzi kwa ajili ...