Katika siku ya pili ya maandamano yaliotishwa na kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga hali ya utulivu imeendelea kushuhudiwa katika baadhi ya maeneo nchini Kenya licha ya hali ya kawaida ...