News

Imepita takribani miezi minane sawa na siku 243 tunarudi tena New Amaan Complex, Zanzibar kushuhudia Singida Black Stars ...
Bwana Yesu asifiwe, Karibu katika tafakari ya ujumbe wa leo unaosema, “Kile apandacho mtu ndicho atakachovuna” Maombolezo 5:7 ...
Taarifa ya tangazo hilo imetolewa kwa mujibu wa Kifungu cha 6(6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na.1 ya ...
Chelsea imefanikiwa kutinga robo fainali ya Kombe la Dunia la Klabu kwa ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya Benfica, katika mchezo ...
Ajali hiyo iliyoua watu 37 na majeruhi 30 ilitokea eneo la Sabasaba, Same mjini, baada ya basi Kampuni ya Chanel One ...
Wakati idadi ya vifo ikiongezeka na kufikia 37, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu amesema miili iliyoungua na ...
Tamasha la kimataifa la filamu Zanzibar (ZIFF), ndiyo kongwe na kubwa la filamu Afrika Mashariki. Limekuwa likifanyika ...
Imepita takribani miezi minane sawa na siku 243 tunarudi tena New Amaan Complex, Zanzibar kushuhudia Singida Black Stars ikicheza dhidi ya Yanga.
Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), limetangaza kutokea kwa hitilafu kwenye gridi ya Taifa iliyosababisha mikoa mbalimbali nchini kukosa huduma mpaka sasa, huku juhudi za kurejesha zikiendelea.
Nyota wa Gambia, Gibril Sillah ametangaza kuondoka Azam FC baada ya kuitumikia kwa miaka miwili timu hiyo ambayo inatumia Uwanja wa Azam Complex, Chamazi kwa mechi zake za nyumbani.
Mshambuliaji wa kimataifa wa England na Bayern Munich, Harry Kane ana historia ya mapenzi isiyo ya kawaida ukilinganisha na ...
Mshikemshke wa uchukuaji na urejeshaji wa fomu za kuwania uteuzi wa nafasi za udiwani, ubunge na uwakilishi ndani ya Chama ...