资讯

Safaricom: Mzozo wa Tigray ni hatari kwa uwekezaji Ethiopia. Serikali ya Marekani katika siku za hivi karibuni iliweka vikwazo vya kiuchumi dhidi ya Ethiopia, ikitaja ukiukaji wa haki za binadamu.