资讯

Aliekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lisu, ametangaza nia ya kuwania nafasi ya urais katika uchaguzi mkuu wa 2020 nchini Tanzania unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu. Tundu Lissu ...
Chama tawala nchini Tanzania CCM kimeanza mchakato wa kuwachuja wagombea wa nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani kupitia kura za maoni zinazofanyika kote nchini. Idadi kubwa ya watia nia ...